KARAKANA YA SHIRIKA LA MAGEREZA(SHIMA) ILIYOPO MKOANI DAR ES SALAAM IMEINGIA MAKUBALIANO NA SHIRIKA LA UMEME (TANESCO) KUTENEGENEZA MAGARI YOTE YA MKOA  WA DAR ES SALAAM