Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Moses Fundi amefunga Mafunzo ya Ulinzi ya Kampuni tanzu ya Shirika la Magereza  - SHIMA GUARD katika  Chuo cha Kikosi Maalumu cha Jeshi la Magereza kilichopo Ukonga ,DSM, Jumla ya Wahitimu 143 wamehitimu mafunzo hayo.