ACP Umba (Kulia)  - RPO Singida akipokelewa na Afisa Masoko SHIMA ASP Yaredi Makala (Kulia) aliambatana na Wakuu wa Magereza yaliyopo Mkoa wa Singida, wametembelea hapa kwenye maonyesho ya Kongamano la wadau wa Uchakataji wa bidhaa za zao la Alizeti siku ya tarehe 12 Agasti, 2021.