UJENZI
.   .
 

Shirika la Magereza lilianzishwa mwaka 1983 kwa Sheria ya Bunge namba 23 ya mwaka  1974 (the Corporation Sole Act No. 23/1974) chini ya kifungu cha 3(1) na kanuni zake za mwaka 1983. 

Shirika la Magereza (SHIMA) lina kikosi cha Ujenzi ambacho kimesajiliwa katika madaraja mbalimbali;

 

REGISTRATION STATUS  (USAJILI NA MADARAJA)

1. Building Contractor Class One (I)

       2.  Civil Works Contractor Class Four (IV)

3. Eletrical Contractor Class Five (V)

         4. Labour Based Road Works Class One (I)